Saturday, September 8, 2018

KALUAS ni blog maalumu kwaajili ya kutoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ufugaji, kilimo na uchumi kilimo na biashara kwa ujumla.
Taasisi na mashirika mbalimbali nchini Tanzania yanajitahidi kutoa elimu kuhusiana na uchumi kilimo lakini bado changamoto ni kubwa kutokana na vijana wengi waliosomea masuala ya kilimo kutojihusisha na kilimo.

Blog hii imeandaliwa mahususi kwaajiri ya kuweza kuwasaidia vijana na watu wa lika mbalimbali ambao wanatamani kupata elimu kuhusu masuala ya kilimo na ufugaji lakini wanashindwa kuzipata kulingana na sababu zilizi nje ya uwezo wao.
Kwa taarifa za ufugaji wa Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Nguruwe nk. Kilimo cha Uyoga, Mahindi,Mpunga,Vitunguu nk. Karibu katika sana kuifuatilia blog hii

KALULU AGRIBUSINESS SOLUTIONS ni kituo kilichoanzishwa maalumu kwaajiri ya kuhakikisha vijana na watanzania wote kwa ujumla wanafanikiwa kupata taarifa sahihi za kilimo na ufugaji ili kujikwamua kiuchumi.

PAUL FABIAN KISENA
BSc. Agricultural economics and agribusiness
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICURTURE (SUA)
The Founder and C.E.O, KALUAS.
kisenapaul@gmail.com
kaluluagribusiness@gmail.com
+255(0)683937375/0713014501

No comments:

Post a Comment

Habari zilizopita

KILIMO CHA KOROSHO

KILIMO CHA KOROSHO UTANGULIZI Korosho ni zao la biashara ambalo chimbuko lake ni Ureno na baadae mnamo karne ya 16 ndipo li...