Saturday, September 8, 2018

KINGA YA KUKU NDIO DAWA TOSHA

Wafugaji wa kuku mnashauriwa kuzingatia chanjo kulingana na umri na aina ya kuku.
mala zote tumekuwa na mazoea ya kutibu kuku baada ya kuona dalili za ugonjwa, lakini ijulikane ama ifahamike kuwa magonjwa mengi ya kuku ambayo yanaenezwa kwa virusi huwa hayana tiba sahihi bari ni chanjo dhidi ya ugonjwa husika.
Mfugaji unashauriwa kuzingatia chanjo na kutumia dawa husika katika chanjo ya ugonjwa husika. Mfano tumia Trimazine 30%,Aprolium au Sulfa kwa kinga dhidi ya Koksidiosis, tusipende kutibu kuku, ila tuwe na utamaduni wa kuwakika kuku.

KALULU AGRIBUSINESS SOLUTIONS
"Tulime na Kufuga kisasa"

PAUL FABIAN KISENA
BSc. Agricultural economics and agribusiness
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICURTURE (SUA)
The Founder and C.E.O, KALUAS.
kisenapaul@gmail.com
kaluluagribusiness@gmail.com
+255(0)683937375/0713014501

No comments:

Post a Comment

Habari zilizopita

KILIMO CHA KOROSHO

KILIMO CHA KOROSHO UTANGULIZI Korosho ni zao la biashara ambalo chimbuko lake ni Ureno na baadae mnamo karne ya 16 ndipo li...